LEO Didier Gomes, Kocha Mkuu wa Simba ataongoza kikosi chake kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku.
Hiki hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo Machi, Mosi:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Tshabalala
Nyoni
Wawa
Keneddy Juma
Chama
Lwanga
Mugalu
Mzamiru
Luis