Home Uncategorized LIVE:MAPOKEZI YA MABINGWA WA KOMBE LA MAPINDUZI YANGA BONGO

LIVE:MAPOKEZI YA MABINGWA WA KOMBE LA MAPINDUZI YANGA BONGO


MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi 2021 Yanga wamerejea leo Bongo wakitokea Zanzibar baada ya kushinda mbele ya watani zao wa jadi Simba kwa ushindi wa penalti 4-3 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila kufungana. Mapokezi yao leo yapo namna hii:-

 

SOMA NA HII  ISHU YA JUMA ABDUL KUREJEA YANGA IPO HIVI