Home Habari za michezo SIO TSHABALALA, WALA KAPOMBE NJE TAIFA STARS KOCHA AFANYA MAAMUZI MAGUMU

SIO TSHABALALA, WALA KAPOMBE NJE TAIFA STARS KOCHA AFANYA MAAMUZI MAGUMU

Taifa Stars

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche, ametangaza orodha ya wachezaji 25 aliowaita kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Algeria lakini mabeki wa pembeni wa Simba SC, Shomari Kapombe na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ hawamo.

Nyota hawa wamekuwa na uzoefu na wamekuwa wakiitwa mara kwa mara kwenye kikosi cha timu ya Taifa lakini safari hii hawajaitwa.

Wachezaji walioitwa ni: 1. Beno Kakolanya (Singida BS) 2. Metacha Mnata (Young Africans) 3. Erick Johora (Geita Gold FC) 4. Ibrahim Hamad (Young Africans) 5. Bakari Mwamnyeto (Young Africans) 6. Dickson Job (Young Africans) 7. Mzamiru Yassin (Simba SC) 8. Sospeter Bajana (Azam FC) 9. Clement Mzize (Young Africans) 10. Kibu Denis (Simba SC) 11. Himid Mao (Tala’ea El Gaish, Misri) 12. Mudathir Yahya (Young Africans) 13. Abdul Suleiman (Azam FC) 14. Abdulmalik Zakaria (Namungo FC) 15. John Bocco (Simba SC) 16. Kenedy Juma (Simba SC) 17. Lameck Lawi (Coastal Union) 18. Jonas Mkude (Young Africans) 19. Morice Abraham (FK Sportak Subotica, Serbia) 20. Haji Mnoga (Aldershot Town, Uingereza) 21. Ben Starkie (Bashford United, Uingereza) 22. Saimon Msuva (JS Kabylie, Algeria) 23. Novatus Miroshi (Zulte Waregem, Ubelgiji) 24. Mbwana Samatta (Paok FC, Ugiriki) 25. Abdi Banda (Richards Bay F.C, Afrika Kusini)

SOMA NA HII  FENERBAHCE WAMCHEUA TENA SAMATTA....GENK WAMDAKA TENA JUU KWA JUU....