BAO pekee la Ismael Mhesa nyota wa Mtibwa Sugar dakika ya 47 linaipa nafasi timu hiyo kusonga mbele hatua ya nne ya Kombe la Shirikisho.
Mtibwa Sugar ilishinda bao 1-0 dhidi ya Geita Gold, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
Mchezo huo wa Kombe la Azam Sports Federation Cup ulipigwa Desemba 27.