Home Habari za michezo VIDEO, MANULA AANZA MAZOEZI MEPESI GYM, TAZAMA VIDEO HAPA

VIDEO, MANULA AANZA MAZOEZI MEPESI GYM, TAZAMA VIDEO HAPA

HATIMA YA AISHI MANULA...KUAMULIWA LEO SIMBA...ISHU NZIMA IKO HIVI

Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula, ameendelea na mazoezi ya gym baada ya kuwa majeruhi kwa zaidi ya miezi minne sasa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aishi ametupia kipande cha video kinachomuonesha akiwa gym akifanya mazoezi mepesi.

Aishi aliumia nyama za paja kwenye mechi ya Robo Fainali ya Azam Sports Federation dhidi Ihefu FC uliochezwa Aprili 7, 2023 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar.

Baada ya kuumia alifanyiwa upasuaji Mei 30, 2023 ambapo daktari wa timu hiyo Edwin Kagabo alisema, nyota huyo atakaa nje ya uwanja kwa takriban miezi minne.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by AISHI SALUM MANULA (@28_manula)

SOMA NA HII  SIRI IMEFUJA SABABU ZA SIMBA KUMTEMA KIPA WAO MBAZILI.... TATIZO LIMEANZIA HAPA