Home Habari za michezo HAWA HAPA MASTAA WALIOITWA TIMU ZA TAIFA, SIMBA, YANGA

HAWA HAPA MASTAA WALIOITWA TIMU ZA TAIFA, SIMBA, YANGA

TANZANIA 0-1 UGANDA TAIFA STARS WALA KICHAPO...NDOTO ZA AFCON BYE BYE...MICHO AONYESHA UBABE

Ligi Kuu ya NBC kwa sasa imesimama kupisha ratiba ya michuano ya CAF kwa timu za taifa kufuzu fainali za AFCON 2023.

Hawa ni wachezaji wa vilabu vya Simba na Yanga walioitwa mpaka sasa kwenye timu zao za taifa kwa ajili ya michuano hiyo.

Yanga SC

01 ◉ Djigui Diarra — Mali

02 ◉ Metacha Mnata — Tanzania

03 ◉ Nickson Kibabage — Tanzania

04 ◉ Bakari Mwamnyeto — Tanzania

05 ◉ Ibrahim Bacca — Tanzania

06 ◉ Gift Fred — Uganda

07 ◉ Dickson Job — Tanzania

08 ◉ Khalid Aucho — Uganda

09 ◉ Jonas Mkude — Tanzania

10 ◉ Mudathir Yahya — Tanzania

11 ◉ Stephanie Aziz Ki — Burkinafaso

12 ◉ Clement Mzize — Tanzania

Simba SC

01 ◉ Kennedy Juma — Tanzania

02 ◉ Mzamiru Yassin — Tanzania

03 ◉ Kibu Denis — Tanzania

04 ◉ John Bocco — Tanzania

05 ◉ Said Ntibazonkiza — Burundi.

SOMA NA HII  YANGA YAMFUATA NABI SOUTH...INJIA HERSI AFUNGUKA MAZITO