Home Habari za michezo KOPI MKEKA HUU….KISHA WEKA BUKU LAKO TU…KISHA SUBIRI MPUNGA WA MERIDIANBET…

KOPI MKEKA HUU….KISHA WEKA BUKU LAKO TU…KISHA SUBIRI MPUNGA WA MERIDIANBET…

Meridianbet

Ligi ya Uingereza yani EPL imekuwa ni ligi bora na pendwa sana ambapo timu kutoka ukanda huo zimekuwa zikifanya vizuri hasa katika mika ya hivi karibuni kwa kuingiza timu nyingi kwenye michuano ya Ulaya ambapo kwenye Europa ligi kuna timu 3 Liverpool, Brighton na Westham.

Timu hizo zimejipanga kukupatia mkwanja pale Meridianbet kutokana na ODDS ambazo wamepewa yani ni ndogo ukilinganisha na timu ambazo wanacheza nazo hii leo kwenye Europa.

Tukianza na mechi ya mapema ambayo itakuwa ni ya Liverpool ya Klopp dhidi ya Lask kutoka kule Austria. Liverpool amekuwa na mwanzo mzuri wa ligi EPL mpaka sasa akiwa hajapoteza mchezo wowote mpaka sasa. Lask pia yupo vizuri kwenye ligi yao. Jogoo kutoka Uingereza ana ODDS ya 1.29. Je atapeperusha bendera vizuri?

Mechi nyingine kutoka Uingereza ambayo inaenda kukupatia pesa ni mechi ya West Ham United dhidi ya TSC Backa Topola. David Moyes na vijana wake walikata tiketi ya kushiriki michuano hii msimu uliopita baada ya kuchukua kombe la Europa Conference hivyo nafasi hiyo ikawafanya waingie kwenye Europa. Mechi hii ina machaguo mengi Meridianbet kazi ni kwako kubeti huu.

Na ya mwisho pale Uingereza ni Brighton ambayo ipo chini ya kocha mkuu Roberto De Zerbi ambaao wameanza msimu vizuri kabisa na wao watamenyana dhidi ya AEK Athens. De Zerbi licha ya kuwatoa wachezaji wake kama Caicedo, Trossard bado ameendeleza ubabe kwa kutoa vipigo vikali kwenye timu zingine. Je kwenye michuano hii atafika ngazi gani? ODDS KUBWA zipo mechi hii bashiri sasa.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Mechi nyingine kutoa Mataifa mbalimbali amabzo zitakupatia pesa pale Meridianbet ni kama zifuatazo,

Sturm Graz wao watakuwa katika dimba lao kucheza dhidi ya Sporting Lisbon majira ya saa 4:00 usiku hukutimu hiyo kutoka Ureno ikiwa haijapoteza mechi yoyote kwenye ligi baada ya kucheza mechi zake 5 mpaka sasa na kukusanya pointi 13. Wakati mwenyeji yeye kwenye ligi pia hajapoteza mechi yoyote kati ya saba alizocheza. Je leo anani kupoteza mechi yake ya kwanza?

Ili kupiga maokoto ya kutosha unapofanya ubashiri jisajili sasa na Meridianbet mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima muda ndio huu kama tayari umejisajili bashiri leo hii mechi ni nyingi sana.

Utamu mwingine wa boli utakuwa kwenye kiwanja cha Karaiskakis ambapo vinara wa ligi ya Ugiriki, Olympiacos watamualika Freiburg ya Ujerumani kuwania pointi tatu. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.

Sparta Prague akiwa nyumbani na ODDS ya 1.52 ataumana dhidi ya Aris Limassol mwenye ODDS ya 6.27. Hii ni mechi yao ya kwanza kukutana na kila timu inahitaji ushindi ili kujiamini vizuri kuelekea mechi zao zinazofuata. Unadhani nani atakupatia pesa kati ya timu hizi mbili?.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. Meridianbet.co.tz.

Klabu ya Rennes ya Ufaransa ambayo inashikilia nafasi ya 8 kwenye ligi baada ya kucheza michezo yake mitano na kukusanya alama 7 itamualika Maccabi Haifa ya Jerusalem. Mgeni kushinda mechi ana ODDS ya 6.27. Bashiri sasa na mabingwa wa ubashiri Tanzania.

Jose Mourinho na vijana wake AS Roma watakuwa ugenini kwenye mechi yao ya kwanza ya Europa dhidi ya Sheriff Tiraspol wakiwa na ODDS ya 1.47 kwa 7.05 pale kwenye akaunti ya mabingwa wa Ubashiri Tanzania. Mourinho kwenye ligi ametoka kutoa kichapo cha mabao saba kwa sifuri. Je na leo anaweza kutoa dozi nzito? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Ukiwa unaendelea kubashiri mechi hizi za Europa kumbuka ile baab kubwa yaani Jakpoti ya Meridianbet kwa wale wanaoutumia vitochi au USSD inaendelea kwa dau la shilingi 1000 pekee unaweza kuvuna mkwanja wa shilingi 85,000,000 ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Piga *149*10# ubashiri sasa.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

 

SOMA NA HII  BAADA YA KUSHINDWA CAS...YANGA YAAMRIWA KUMLIPA MAMILIONI YA PESA MORRISON...