Home Habari za michezo YANGA YAWEKA REKODI HII YA KIPEKEE LIGI KUU

YANGA YAWEKA REKODI HII YA KIPEKEE LIGI KUU

Habari za Yanga

Timu Tisa zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) 2023/24 ambazo ni;

Tanzania Prisons

Coastal Union

Kagera sugar

JKT Tanzania

Namungo

Ihefu,

Singida Big stars

Geita Gold

Timuzote hizo pamoja zimefunga mabao 11 mpaka sasa baada ya michezo mitatu ya Ligi.

Idadi hiyo ya mabao 11 ni sawa na mabao yaliyofungwa na klabu Moja tu ya Young Africans kwenye michezo mitatu waliyoicheza hadi sasa ya Ligi

SOMA NA HII  ISHU YA SINGIDA KUSHIRIKIANA NA YANGA KUIMALIZA SIMBA IKO HIVI