Home Uncategorized KUMEKUCHA MSIMBAZI, MATOLA SASA KUTIMKA NDANI YA TIMU

KUMEKUCHA MSIMBAZI, MATOLA SASA KUTIMKA NDANI YA TIMU


IMEELEZWA kuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola yupo kwenye harakati za kuondoka ndani ya Simba ili aongeze ujuzi wake kwenye taaluma ya ukocha.

Habari zinaeleza kuwa Matola atasepa ndani ya Simba Machi 3 na kuibukia makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambapo atakuwa kwenye kozi maalumu ya ukocha itakayompandisha hadhi ya kukaa kwenye benchi la ufundi akiwa ni Kocha Mkuu.

“Machi 3, Matola anasepa ndani ya Simba na atarejea Aprili 10 hatakuwa na timu kabisa hivyo atatafutwa kocha mpya,” ilieleza taarifa hiyo.

SOMA NA HII  NICOLAS WADADA WA AZAM FC BEKI BORA WA VPL 2019/20