Home Uncategorized SIMBA KAZINI TENA KESHO MBELE YA MTIBWA SUGAR, MOROGORO

SIMBA KAZINI TENA KESHO MBELE YA MTIBWA SUGAR, MOROGORO

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kesho watakuwa na kazi ya kumenyana na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Gairo, Morogoro.

Simba iliyo chini ya Sven Vandernbroeck ina kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake uliopita dhidi ya JKT Tanzania kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Uhuru.

Mtibwa pia iliyo chini ya Zuber Katwila imepoteza mchezo wake kwa kufungwa bao 1-0 na Lipuli.

Patrick Rweyemamu, Meneja wa Simba amesema kuwa kikosi kipo vizuri na wachezaji wana morari ya kutosha.

SOMA NA HII  VIDEO: MIAKA 56 YA MAPINDUZI CHEKI KOMANDO ALIVYOMWAGIWA PILIPILI