Mshambuliaji wa klabu ya Simba Kibu Denis Prosper ndiye mchezaji pekee raia wa Tanzania aliyefunga goli kwenye michuano ya African Football League hadi hivi sasa.
Sadio Kanoute ni miongoni mwa wanaoongoza kwa kuwa na magoli mengi zaidi kwenye michuano ya African Football League.