Home Habari za michezo MAJANGA MASHABIKI SIMBA WATAKA ROBERTINHO AFUKUZWE, UNAAMBIWA SIMBA HAJASHINDA MECHI HATA MOJA...

MAJANGA MASHABIKI SIMBA WATAKA ROBERTINHO AFUKUZWE, UNAAMBIWA SIMBA HAJASHINDA MECHI HATA MOJA KIMATAIFA

Habari za Simba

Klabu ya Simba tangu huu msimu uanze haijashinda hata mchezo mmoja wa mashindano wa Kimataifa achana na ule wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Power Dyanamos kwenye sherehe za Simba Day.

Hizi ni mechi za mashindano ya kimataifa ambazo Simba SC imecheza msimu huu;

Power Dynamo 2-2 Simba SC (CAFC 2nd preliminary stage, leg 1)

Simba 1-1 Power Dynamos (CAFC 2nd preliminary stage, leg 2)

Simba 2-2 Al Ahly (AFL Quarter final, leg 1)

Al Ahly 1-1 Simba SC (AFL Quarter final, leg 2)

Hizi mechi kubwa zote Coach katoa sare na team imeingia hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika bila ushindi wa mechi yoyote.

Mechi nyingine kubwa ambazo Robertinho amecheza msimu huu ni;

Simba 0-0 Singida FG (Ngao ya Jamii)

Simba 0-0 Yanga (Ngao ya Jamii)

Simba Sc 2-1 Singida FF (Ligi Kuu Bara).

Kwa matokeo hayo, baadhi ya mashabiki wa Simba wamekuwa wakipiga kelele wakitaka kocha wao Robertinho atimuliwe, wewe una maoni gani?

SOMA NA HII  BAADA YA KUCHEZA MECHI MBILI ZA LIGI...MAYELE, MOLOKO WAFUNGUKA MAZITO...WATUKANWA MATUSI...