Home Habari za michezo UONGOZI WA SIMBA UMEFUNGUKA HAYA KUHUSU WACHEZAJI WAKE WALIOITWA

UONGOZI WA SIMBA UMEFUNGUKA HAYA KUHUSU WACHEZAJI WAKE WALIOITWA

Habari za Simba leo

Kuelekea mchezo wa African Football League klabu ya Simba imesema timu hiyo itaingia kambini kesho Alhamisi Oktoba 12, 2023 kwa ajili ya kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo huo dhidi ya vigogo wa Misri Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa.

Kuelekea mchezo wa African Football League klabu ya Simba imesema timu hiyo itaingia kambini kesho Alhamisi Oktoba 12, 2023 kwa ajili ya kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo huo dhidi ya vigogo wa Misri Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa. Aidha Simba SC imezungumzia wachezaji walioitwa kwenye timu zao za Taifa ambapo Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu hiyo Ahmed Ally amebainisha kuwa klabu inaendelea na mazungumzo na mashirikisho ili wachezaji waliotwa wawahi kurudi kwa ajili ya kujiandaa kwa ubora zaidi.

SOMA NA HII  HUU HAPA UKWELI WA KAGERE KUSAJILIWA SINGIDA BIG STAR...PLUIJM NAYE NDANI YA NYUMBA....