Home Habari za michezo MAMELODI WABANWA MBAVU NA KINAMAYELE SHUGHULI ILIKUWA HIVI

MAMELODI WABANWA MBAVU NA KINAMAYELE SHUGHULI ILIKUWA HIVI

Habari za Michezo

Mabingwa wa African Football League, Mamelodi Sundowns wakiwa nyumbani Loftus Versfeld, Pretoria wamelazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya vigogo wa Misri, Pyramids katika mchezo wa tatu ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Pyramids

MSIMAMO KUNDI A

Sundowns (pointi 4)

TP Mazembe (4)

Nouadhibou (4)

Pyramids (4)

Shughuli ni pevu kundi A bado ni bichi, kuna tofauti ya alama SIFURI kati ya kinara na mshika mkia.

SOMA NA HII  YANGA DIMBANI LEO DHIDI YA AL AHLY