Home Habari za michezo VIKOSI VYA LEO SIMBA vs IHEFU HIVI HAPA, HUKU REKODI IKIMBEBA MNYAMA

VIKOSI VYA LEO SIMBA vs IHEFU HIVI HAPA, HUKU REKODI IKIMBEBA MNYAMA

Kikosi cha Simba SC leo Oktoba 28 watakuwa na kibarua mbele ya Mbogo Maji kutoka kule Mbeya Kikosi cha hefu mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Simba wanahitaji alama tatu ili kuifukuza Yanga inayoongoza msimamo wa Ligi ikiwa na alama 18 lakini wakiwa wamecheza michezo mingi zaidi kuliko Simba waliocheza mechi tano.

Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza mchezo wa leo;

SOMA NA HII  REKODI ZA,JEMBE JIPYA LA SIMBA KUTOKA NIGERIA