Home Habari za michezo ODDS ZA KUMALIZIA WEEKEND HIZI HAPA…HAKIKISHA MKEKA WAKO WA MERIDIANBET UNATEMA LEO…

ODDS ZA KUMALIZIA WEEKEND HIZI HAPA…HAKIKISHA MKEKA WAKO WA MERIDIANBET UNATEMA LEO…

Meridianbet

Wikiendi unaweza kuiondoa kwenye unyonge kama utaweka jamvi lako na kampuni ya Meridianbet Jumapili hii kwenye michezo ambayo itakwenda kupigwa Jumapili ya leo katika ligi mbalimbali ambayo itaweza kukupa nafasi ya kupiga mkwanja.

Wewe mteja wa Meridianbet nafasi ya kuimaliza wikiendi bado unayo kutokana na michezo ambayo inapigwa leo, Unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti ya Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri wenye ODDS KUBWA na kuweka ubashiri wako.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ligi kuu ya Uingereza, Hispania, Ufaransa, Italia, Ujerumani, NBC Tanzania michezo mikali itapigwa kama kawaida ni muda wa kufanya machaguzi yako ili uweze kuondoka na kitita cha kutosha kupitia Meridianbet.

Pale ligi kuu ya Uingereza EPL itapigwa michezo kadhaa mikali ambapo majogoo wa Anfield klabu ya Liverpool leo watashuka dimbani kukipiga na klabu ya Luton Town, Huku Aston Villa ya Unai Emery iliyo kwenye kiwango bora kabisa ikiwa ugenini kumenyana na Nottingham Forest.

La liga ligi kuu ya Hispania klabu ya Valencia wao watakua dimbani kwao pale Mestalla kuwakaribisha klabu ya Granada, Huku Villarreal wakikipiga na Athletico Bilbao, Real Madrid wao watakua Santiago Bernabeu kuwakaribisha Rayo Vallecano.

Serie A ligi kuu ya Italia moto utawaka leo ambapo As Roma baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Inter Milan leo watacheza na klabu ya Lecce katika dimba lao la Olympico, Juventus wakiwa kwenye fomu nzuri hivi karibuni watakua ugenini kukipiga na klabu ya Fiorentina.

Ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 pia kutakua na michezo mikali jumapili hii ya kujipigia mkwanja ambapo Monaco watashuka dimbani kukipiga na Brest, Huku Olympique Lyon iliyo kwenye hali tete kwenye ligi hiyo wakiikaribisha Metz, Mechi kali ya kufungia diku itakua kati ya Nice dhidi ya klabu ya Stade de Rennes.

Ligi kuu ya NBC Tanzania bara utapigwa mchezo mkali sana leo ambapo utawakutanisha mahasimu wawili wababe wa soka la Tanzania kati ya klabu ya Simba dhidi ya Yanga, Huku mchezo huo ukipewa ODDS KUBWA na kabambe kabisa ambapo wewe mteja wa Meridianbet unaweza kuchukua mkwanja wako kibabe kabisa leo.

SOMA NA HII  BODI YA LIGI WAVUNJA UKIMYA ISHU YAO NA GSM...WAFUNGUKA MADUDU ZAIDI YA MKATABA WA UDHAMINI...