Michezo kabambe ya kasino mtandaoni kutoka Expanse itakufanya kuvuna bonasi kuanzia TZS 100,000/= kwenye mgao wa TZS 800,000/= Mwezi huu wa Novemba.
Ukiachana na sloti kibao ikiwemo michezo ya kasino mtandaoni rahisi kabisa kupiga pesa kama Aviator mchezo pendwa, Roulette na Poker, katika promosheni hii ya Expanse Casino 9.0 mchezaji atakayecheza michezo ifuatayo atajiweka kwenye nafasi ya kushinda bonasi ya mgao wa TZS 800,000/=
Michezo hiyo ya kasino mtandaoni inayolipa bonasi ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits. Mayas Treasure, Wild White Whale, PIA na Planet Power.
Shiriki kwenye Promosheni ya Expanse Casino 9.0
Kushiriki kwenye shindano hili la 5 unapaswa kucheza kasino mtandaoni, sloti za Expanse studio na kwa kuzingatia masharti yafuatayo:
-
Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz
-
Kipindi chote cha shindano, wachezaji watashindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.
-
Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.
-
Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino ya mtandaoni katika viwango vifuatavyo:
-
1. Nafasi ya Kwanza 250,000 TZS
-
2. Nafasi ya Pili 200,000 TZS
-
3. Nafasi ya Tatu 150,000 TZS
-
4. Nafasi ya nne 100,000 TZS
-
5. Nafasi ya Tano 100,000 TZS
-
Bonasi iliyotolewa ni lazima izungushwe mara 30 kwenye michezo ya kasino mtandaoni ili iwekwe kwenye akaunti ya mteja kwaajili ya kutolewa. Ushindi wa juu ni 500,000TZS