Home Habari za michezo SIMBA NAE AJIOKOTEA KIBONDE WAKE …… SIO KWA KIPIGO HIKI

SIMBA NAE AJIOKOTEA KIBONDE WAKE …… SIO KWA KIPIGO HIKI

Habari za Simba

Leo kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City na kushinda goli 4-0.

Wafungaji wa magoli hayo ni beki Che Malone, Willy Onana, Israel Mwenda Patrick na Moses Phiri.

Mnyama anaendelea kujifua kwaajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast.

Mechi hiyo itachezwa Benjamin Mkapa Novemba 25, 2023 saa 10:00 jioni

SOMA NA HII  KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here