Home Habari za michezo VALENCIA NA MAAJABU YAO KWENYE UWANJA ….MERIDIANBET WAFANYA JAMBO…

VALENCIA NA MAAJABU YAO KWENYE UWANJA ….MERIDIANBET WAFANYA JAMBO…

Meridianbet

Mestalla, nyumbani kwa Valencia CF, ni uwanja wa zamani zaidi katika LALIGA na pia mojawapo ya viwanja vyenye mvuto zaidi. Mazingira yenye shauku yanakwenda mbali hata kabla ya mechi, hasa kutokana na uamuzi wa Valencia CF wa kushirikiana na wasanii na ma DJ katika mechi zao za nyumbani.

Kwa hali inavyokwenda hapa nchini kwa mashabiki wa timu Fulani inayopitia magumu, suala hili lilikuwa zuri sana. Bashiri na Meridianbet kwa mechi zote za ndani na kimataifa, odds kubwa na machaguo kibao.

Valencia imefanya hivyo ili kutoa hamasa na burudani kwa mashabiki na kufanya biashara inayofanikiwa ndani ya jiji, Valencia CF ilifikia makubaliano na Palau Alameda, moja kati ya mtumbuizaji mkubwa huko Valencia.  DJs wa kudumu wa Palau Alameda watapiga muziki Mestalla saa moja na nusu kabla ya kuanza kwa kila mchezo wa nyumbani wa Valencia CF. Unapobashiri na Meridianbet mechi nyingi zina odds kubwa, lakini pia uanweza kucheza kasino mtandaoni kwa ushindi wa kila dakika.

Vilevile, klabu ilimewaalika Elena Farga, mwimbaji kutoka Valencia, kutoa burudani kwenye uwanja waMestalla kabla ya mchezo wao wa nyumbani dhidi ya Atlético de Madrid. Mwanamuziki huyo amepata umaarufu hivi karibuni kwa kuwa mwandishi wa wimbo rasmi wa timu ya taifa ya wanawake ya Hispania katika Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA 2023, ambalo La Roja walishinda. Unaweza kubashiri na kitochi bila bando ukiwa na Meridianbet, pata odds kubwa na cheza kasino mtandaoni uweze kuwa moja ya washindi wa kila siku.

Uamuzi wa Valencia CF wa kufanya kazi na wasanii wa ndani ili kuchangamsha sherehe za kabla ya mchezo ulichukuliwa kwa kuzingatia mashabiki. Taasisi ya Valencia imejitolea kutoa burudani kwa mashabiki ambayo inakwenda mbali na mechi ya soka, na mashabiki wamejibu kwa njia chanya, wengi wao sasa wakichagua kufika mapema kabla ya kuanza kwa mchezo ili kufurahia mazingira haya. Zaidi ya hayo, klabu imetoa sababu ya kuwepo kwa wasanii waalikwa hawa:

“Kwa vitendo kama hivyo, kama lile la Farga, tunadhihirisha msaada wa klabu kwa wasanii wa ndani ambao wanashiriki maadili ya Mediteranea yanayoelezea namna yetu ya kuwa, kuungana, na kushiriki hisia, jambo ambalo pia ni msisitizo wa Valencia CF kwa msimu huu.”

Zaidi ya hayo, taasisi ya Valencia imeeleza jinsi wazo hili lilivyotokea, ikisema: “Wazo lilizuka kutokana na hamu ya kuimarisha uzoefu wa mashabiki katika mechi za soka ili kuzidi dakika 90 za mchezo, tulikuwa tunatafuta njia ya kuongeza burudani zaidi kabla ya mechi.

Mchanganyiko wa muziki na soka unachochea msisimko, bila shaka. Inawapa mashabiki uzoefu wa mchezo wenye utajiri zaidi na wa kumbukumbu.”

Mbali na kuboresha uzoefu wa mashabiki, aina hizi za maonyesho pia huchangia kuboresha mazingira na kufanya Mestalla kuwa uwanja mgumu zaidi kwa timu za wageni kutembelea. Cheza michezo ya sloti na kasino mtandaoni upata maokoto kirahisi. Tembelea Meridianbet App ufurahie michezo mingi ya kasino mtandaoni.

NB: KWA 500 TU UNAPATA BAJAJI MPYAA UKIBETI NA KITOCHI MERIDIANBET MWEZI HUU WA NOVEMBA, PROMOSHENI HII YA BAJAJI MIA5 INAISHA MWISHO WA MWEZI HUU, KUWA MMOJA KATI YA WASHINDI WA BAJAJI NA ZAWADI KIBAO KWENYE PROMOSHENI HII KWA KUBASHIRI NA MERIDIANBET PEKEE.

SOMA NA HII  FEI TOTO AFUNGUKA KITU ATAKACHOIFANYIA AZAM, AWAAMBIA HAYA WACHEZAJI WENZAKE