Home Habari za michezo CHAMA AWACHANA MASHABIKI WANAOMSEMA MITANDAONI

CHAMA AWACHANA MASHABIKI WANAOMSEMA MITANDAONI

Disemba 21, 2023 Klabu ya Simba SC ilitoa taarifa ya kuwasimamisha wachezaji wake Clatous Chama na Nassor Kapama kwa makosa ya utovu wa Nidhamu.

Mara baada ya kutoka kwa taarifa hiyo mashabiki wengi walikimbilia katika kurasa za kijamii za wachezaji hao na kutoa yaliyo katika mioyo yao.

Sasa Clatous Chama ameonekana kujibizana na mashabiki hao kwa lugha ambazo zinaonesha kukosa ustaarabu.

SOMA NA HII  GEORGE LWANDAMINA AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE