Hello Desemba 9, ikiwa ni siku ya kutimiza miaka 62 Uhuru wa Tanganyika. Hivi hapa vigongo vya Simba ndani ya Desemba kitaifa na kimataifa namna hii:-
Desemba 09, Wydad v Simba, Ligi ya Mabingwa Afrika. Desemba 15, Simba v Kagera Sugar, Ligi Kuu Bara. Desemba 19, SimbĂ v Wydad, Ligi ya Mabingwa Afrika. Desemba 23, KMC v Simba, Ligi Kuu Bara. Desemba 26, Mashujaa v Simba, Ligi Kuu Bara. Desemba 29, Tabora United v Simba, Ligi Kuu Bara.
Comment:daah kweli atari