Home Habari za michezo IFANYE ‘BOXING DAY’ YAKO KUWA YA KIJANJA KWA KUTANDIKA ODDS HIZI ZA...

IFANYE ‘BOXING DAY’ YAKO KUWA YA KIJANJA KWA KUTANDIKA ODDS HIZI ZA KISHINDO…

Meridianbet

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wao wamedhamiria kuhakikisha wateja wao leo wanaifurahia Boxing day, Kwani wameweka ODDS KUBWA katika michezo mbalimbali itakayopigwa leo.

Kama mteja wa Meridianbet unaweza ukafungua zawadi kibabe leo kama utatumia fursa ambayo Meridianbet wamekupa, Kwani zimewekwa ODDS KUBWA kwajili ya kuhakikisha zawadi zinafunguka kibabe kwa kupiga mkwanja na Meridianbet.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Newcastle baada ya kupoteza mchezo siku ya Jumamosi dhidi ya Luton Town leo watakua nyumbani katika dimba la St. James Park kuhakikisha wanarudi kwenye njia ya ushindi wakiikaribisha klabu ya Nottingham Forest.

Liverpool baada ya kubanwa mbavu katika michezo miwili mfululizo kwa kupata sare wakiwa nyumbani leo watasafiri na kwenda ugenini kukipiga na vijana wa kocha Vicent Kompany klabu ya Burnley ambapo watakua wakipambana kuzipata alama tatu muhimu.

Bournamouth wakiwa kwenye fomu nzuri ambapo wametoka kushinda michezo miwili mfululizo na mchezo mmoja ni ule walioitandika Man United mabao matatu kwa bila leo watakua pale Vitality katika uwanja wao wqa nyumbani kuikaribisha klabu ya Fulham.

Manchester United ikiwa haipo kwenye mwenendo mzuri wa matokeo leo wanakwenda kukabiliana na moja ya timu bora kwasasa kwenye ligi kuu ya Uingereza  klabu ya Aston Villa, Man United watahitaji kulinda rekodi yao ya kutopoteza mchezo katika siku ya Boxing day ambayo imedumu tangu mwaka 2015.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  KAKOLANYA :- KWA HILI MABOSI SIMBA WALIFELI WENYEWE....WACHEZAJI WALIKOSA MOYO WA KUJITUMA..