Home Habari za michezo KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA MOROCCO AMPIGA KIKUMBO BENCHIKHA CAF

KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA MOROCCO AMPIGA KIKUMBO BENCHIKHA CAF

morocco

Kocha timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2023 baada ya kuiongoza Morocco kumaliza nafasi ya nne kwenye michuano ya kombe la Dunia la Qatar 2022.

Regragui amewashinda kocha wa Simba SC, Abdelhak Benchikha na Aliou Cisse wa Senegal.

SOMA NA HII  JUMA ABDUL AWACHAMBUA MABEKI WA YANGA