Home Habari za michezo MECHI ZA PESA KWA LEO ZIMELALA HAPA….ODDS ZA UHAKIKA ZIMEBEBWA NA TIMU...

MECHI ZA PESA KWA LEO ZIMELALA HAPA….ODDS ZA UHAKIKA ZIMEBEBWA NA TIMU HIZI…

Meridianbet

Leo hii mechi za Europa zinaendelea hatua ya mwisho ya makundi, na kila timu ina malengo yake kwenye hiyo mechi ya mwisho ya leo kwani kwa baadhi ya timu hii ndio mechi ya maamuzi abaki kwenye michuano hii, aende Konferensi League nakadhalika. Bashiri sasa upata pesa hapa.

Umilionea unaanzia kwenye mechi hii ya Slavia Prague dhidi ya Servette Geneva ambao hawana matumaini ya kusalia kwenye michuano hiyo baada ya kutoshinda mechi yoyote hadi sasa. Mechi hii imepewa ODDS 1.34 kwa 8.42, Je Nani kuondoka na ushindi hapa?. Bashiri mechi hii.

Ukiachana na mechi ya hiyo, mechi nyingine ya pesa ni kati ya Union Saint-Gilloise dhidi ya Liverpool ya Klopp. Jogoo ana ODDS 2.84 kwa 2.27 huku tofauti ya ponti kati yao ikiwa ni 9. Liver atamaliza kundi kwa kupoteza? Bashiri mechi hii Meridianbet.

Bayer Leverkusen wao watakuwa nyumbani kuzichapa dhidi ya Molde huku mechi ya kwanza walipokutana Leverkusen alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.32 kwa mwenyeji na 7.64 kwa mgeni. Pesa yako unaiweka wapi hapo?

Usiishie kubashiri Europa tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayotolewa hapa kama vile Aviator, mchezo pendwa kwasasa na ni rahisi sana, Poker, Keno Roullette na mingine kibao ya Sloti. Ingia mchezoni na ucheze sasa upate Bonasi za Kasino.

Bila kusahau AS Roma nao kama kawaida watashuka dimbani kuzichabanga dhidi ya  FC Sheriff. Ikumbukwe kuwa Waitalia hao wanatafuta pointi hii leo wamalize kundi kama vinara. Huku mpinzani wake akiwa na alama moja pekee. Je Roma wanaweza maliza kundi kileleni? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili na ubeti.

Katika Kundi A, Westham United watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Freiburg ya Ujerumani huku timu hizo zikiwa zimefungana pointi yani wote wana 12. 1.81 ndio ODDS ya Wagonga Nyundo wa London huku 3.92 ya mgeni. Nani kupaa kileleni. Suka mkeka wako chapu.

Mechi ya Stade Rennes dhidi ya Villarreal nayo itakupa pesa endapo utaibetia wote wanataka kukaa kileleni ili kupata unafuu mechi ya 16 bora. Mfaransa ana ODDS 2.07 na Mhispania amepewa 3.33. Walipokutana, Nyambizi wa Njano alishinda. Leo mwenyeji atalipa kisasi? Bashiri na Mabingwa hapa.

Vilevile vijana wa Roberto De Zerbi, Brighton & Hove Albion watakuwa nyumbani kukimbiza dhidi ya Olympique Marseille tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee na wote wanawania kukaa juu. 1.63 na 4.80 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na usuke mkeka hapa.

Ajax Amsterdam watawaalika AEK Athens huku timu hizo zikiwa hazina mpango wa kuendelea na michuano ya Europa na sasa wanatafuta nafasi ya kuwania Konferensi league. Mechi hii ina machaguo mengi Meridianbet. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa.

Moto mwingine ambao utawaka ni kati ya Real Betis dhidi ya Rangers katika dimba la Benito Villamarin wakitofautiana pointi 1 pekee. Mara ya mwisho walipoonana Mgeni alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.78 kwa 4.21. Nani ni nani leo?

SOMA NA HII  PAMOJA NA TIMU KUYUMBA UWANJANI...MANULA, ONYANGO KUIKAMUA SIMBA MAMILIONI..BARBARA ATULIZA HALI..