Home Habari za michezo MWENGE WAFIKIWA NA MERIDIAN BET

MWENGE WAFIKIWA NA MERIDIAN BET

Kampuni ya Meridianbet imewafikia wakazi wa Mwenge jijini Dar-es-salaam ambapo mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefika eneo hilo na kutoa msaada wa miamvuli kwa wajasiriamali wadogowadogo wa eneo hilo.

Huu umekua kama utaratibu kwa kampuni ya Meridianbet kurejesha kwenye jamii yake inayowazunguka na ndio maana leo wamefika katika eneo la Mwenge kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yake kwa kutoa msaada wa Miamvuli.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Miamvuli ambayo imetolewa kwa wakazi hao wa Mwenge ni Miamvuli mikubwa ambayo hutumika haswa kwenye vioski vya barabarani au maduka madogo, Ambapo huwasaidia kujikinga na jua na mvua wakati wakiendelea na shughuli zao.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kutoka Meridianbet Nancy Ingram alifanikiwa kuzungumza kwa niaba ya kampuni na kusema “Kwanza kabisa napenda kuwashukuru kwa mapokezi yenu mazuri lakini kubwa ni sisi kufika hapa na kuweza kutoa vifaa hivi ambavyo vitawasaidia katika shughuli zenu za kila siku” 

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mmoja wa Wafanyabiashara wadogowadogo wanaopatikana Mwenge Mpaka alizungumza na kwa niaba ya wenzake huku akisema “ Kiukweli napenda kuwashukuru kampuni ya Meridianbet kwa kuonesha ukarimu mkubwa kwa kuja kutupatia vifaa ambavyo vitaweza kutusaidia katika shughuli zetu, Ningependa makampuni mengine yaige mfano kwa Meridianbet kwa kukumbuka wahitaji”

SOMA NA HII  BENCHIKHA:- HAWA APR HAWA NI BALAAHA NA NUSU....