Home Habari za michezo KIPUTE CHA AFCON 2023 KINAANZA LEO NA UHAKIKA WA MKWANJA KUTOKA MERIDIANBET…

KIPUTE CHA AFCON 2023 KINAANZA LEO NA UHAKIKA WA MKWANJA KUTOKA MERIDIANBET…

Meridianbet

Wenyeji wa michuano mikubwa zaidi ya soka barani Afrika kwa upande wa timu za taifa AFCON timu ya taifa ya Ivory Coast itafungua michuano hiyo leo dhidi ya timu ya taifa ya Guinnea- Bissau.

Michuano hiyo inakwenda kupigwa nchini Ivory Coast mapema leo ikiwa ni mara ya 34 michuano hiyo inachezwa tangu kuanzishwa kwake mwaka 1957 ambapo ilipigwa nchini Sudan wakisimama kama wenyeji.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana

Michuano ya mwaka huu ambayo itaanza kutimua vumbi leo itahusisha timu 24 kutoka katika bara la Afrika ambazo zilifanikiwa kufuzu michuano hii, Huku makundi yakigawanywa kufikia sita kuanzia kundi A mpaka kundi F.

Timu 12 zitapatikana katika kila kundi ili kutengeneza timu 16 ambazo zitacheza hatua ya 16 bora, Hivo katika makundi sita zitapatikana timu mbili kundi kwa maana ya timu 12, Huku zitafutwa timu nyingine nne kama best loser katika makundi yote sita ili kutimiza timu 16.

Tangu michuano ya Afcon ianzishwe mwaka 1957 imefanikiwa kutoa mabingwa 15 yaani nchi tofauti tofauti 15 zimeshafanikiwa kutwaa ubingwa wa AFCON, Huku bingwa wa muda wote akiwa timu ya taifa ya Misri maarufu kama Pharaos wakiwa wametwaa ubingwa huo mara saba.

Rekodi nyingine kuhusiana na michuano hii mikubwa kabisa ya soka barani Afrika kwa upande wa timu za taifa ambapo mshambuliaji wa timu ya Cameroon Samuel Eto’o Fills anaendelea kushikilia rekodi ya mfungaji bora wa muda wote wa michuano hiyo akiwa na mabao 18.

Mabingwa wa michuano ya kubashiri kampuni ya Meridianbet nao hawatakua nyuma kwani watahakikisha wewe mteja wao unafanikiwa kupiga mkwanja kupitia michuano ya AFCON ambapo wamekuja na kampeni yao inakuambia KAPU LA AFCON NGOMA INOGILEEEEE.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.

SOMA NA HII  KAMA ULIKUWA HUJUI...YANGA WAKIBEBA KOMBE LA LIGI KUU TU...WANALAMBA BILIONI 4 'CASH'...MCHANGANUO HUU HAPA...