Home Habari za michezo ODDS ZA UHAKIKA LEO ZIMELALA NA MKEKA HUU….HAKIKISHA UNATULIA NA MERIDIANBET…

ODDS ZA UHAKIKA LEO ZIMELALA NA MKEKA HUU….HAKIKISHA UNATULIA NA MERIDIANBET…

Meridianbet

FA Cup nchini Uingereza inaendelea kama kawaida ambapo awamu hii imekuja na ODDS za kutosha ndani ya Meridianbet ambapo zitakufanya wewe mteja wa kampuni hii kukusanya maokoto ya maana. Ingia sasa ujionee jinsi ya kupuna pesa.

Kabumbu litakuwa kati ya Brentford dhidi ya Wolvehampton Wonderers na timu zote zipo Ligi kuu Uingereza na mara ya mwisho walipokutana kwenye ligi, Mbwa mwitu alishinda. Nyuki kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.50 kwa 2.74. Beti sasa mechi hii.

Huku Tottenham Spurs wao watakiwasha dhidi ya vijana wa Vincent Kompany Burnley ambao bado hawana mwenendo mzuri kwenye ligi. Nafasi ya kushinda mchezo huu amepewa Spurs ya Ange wakiwa na ODDS 1.40 kwa 6.07. Nani kuondoka na pointi 3 leo? Ingia mchezoni na ubashiri kishua hapa.

Pia Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Poker, Roullette na mingine kibao ya sloti kwa dau dogo tuu uweze kukwapua maokoto ya nwezi huu wa Januari. Ingia mchezoni na ucheze.

Naye Fulham majira ya saa 4:30 usiku atakiwasha dhidi ya Rotherham United ambayo inashiriki ligi daraja la kwanza ambapo inashikilia mkia kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi 3 kwenye michezo 26 aliyocheza. Mechi hii imepewa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.

Hapo kesho kama kawaida ni wikendi murua kabisa ambapo majira ya saa 9:30 mchana ambapo Millwall atakuwa mwenyeji wa Leicester City ambaye ndiye kinara wa ligi daraja la kwanza (Championship) huku mwenyeji akiwa nafasi ya 15. Mechi hii imepewa ODDS 1.80 kwa 3.72. Jisajili na ucheze.

 Sunderland atakipiga dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe ambao walianza ligi vizuri lakini kwasasa wanasuasua wakiwa nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Je kesho wanaweza kupata ushindi wakiwa nyumbani kwao? Suka jamvi lako mapema leo.

Bournemouth FC watakuwa ugenini dhidi ya Queens Park Rangers ambayo ipo Championship wakiwa wamepewa ODDS 5.48 na mgeni akipewa 1.45. QPR yupo nafasi ya pili kutoka mwisho kwenye msimamo huku Bournemouth akiwa wa 12 EPL. Je nani ni nani hapo kesho?

Wakati huo huo Stoke City atazichapa dhidi ya Brighton ya Roberto De Zerbi ambao kushinda wamepewa ODDS 1.50 kwa 5.29. Mechi hii ina machaguo mengi zaidi meridianbet. Ingia na ubeti.

Vijana wa Darajani Chelsea watakuwa pale Stamford Bridge kucheza dhidi ya Preston North End ya Championship. Nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa The Blues akiwa na ODDS 1.15 kwa 12.74. Beti kishua hapa.

Vilevile Middlesbrough FC watakuwa wenyeji wa vijana wa Unai Emiry Aston Villa ambao ni moja kati ya timu ambazo zinafanya vyema sana kwa sasa kwenye ligi kuu wakiwa nafasi ya pili mpaka sasa. Kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.52 kwa 5.09. Beti sasa.

West ham United ya David Moyes nao wanasema wanalitka Kombe hili ambapo wao watakuwa pale London Stadium kuzichapa dhidi ya Bristol City ambao wamepewa ODDS 6.66 kushinda mechi huku Wagonga nyundo wa London wao wakipewa 1.37. Tengeneza jamvi lako hapa.

SOMA NA HII  DJUMA, MAYELE WASHTUA YANGA...PENALTI YA ILULU MHMHH...MIBAO YA KAGERE YAMKOLEA PABLO..