Home Habari za michezo ODDS ZA USHINDI LEO HII HIZI HAPA…

ODDS ZA USHINDI LEO HII HIZI HAPA…

Meridianbet

Baada za kushuhudia timu zikipasuka wikendi na zingine kuhsinda, leo hii ni zamu za timu zingine kuingia viwanjani na kusaka pointi tatu muhimu ambazo zitawasaidia kutoka nafasi moja na kwenda nyingine. Unangoja nini? Beti na meridianbet sasa.

Hapa Tanzania leo hii ligi kuu za NBC itaendelea ambapo, Simba atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Geita Gold ambaye alishinda mechi iliyopita huku Mnyama akitoa sare mechi iliyopita. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda Benchika na vijana wake kwa ODDS 1.33 kwa 7.05. Je nani kushinda mechi leo hii katika dimba la CCM Kirumba? Beti hapa.

ODDS nzuri zipo kwenye mechi hii ya Kagera Sugar dhidi za Singida Fountain Gate katika dimba la Kaitaba. Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 12:15 huku tofauti ya pointi kati yao ni 6. Walima Alizeti kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.35 kwa 3.04. Mara ya mwisho kukutana, mgeni alihsinda. Je leo hii Walima Miwa kushinda?. Jisajili na ubeti sasa.

LALIGA nayo kama kawaida kitaeleweka leo hii vibonde wa ligi hiyo, Almeria watakuwa wenyeji wa Athletic Club ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi hiyo. Mwenyeji ana pointi 6 tuu huku mgeni wake akiwa na pointi 45. Mechi hii ina machaguo zaidi za 1000 meridianbet. Suka jamvi lako hapa.

Pia SERIE A leo vijana wa Allegri Juventus wataziwasha dhidi ya Udinese Calcio katika dimba la Allianz majira ya saa 4:45 usiku. Mechi ya mwisho Juve aliondoka na pointi 3. Je leo hii kwa ODDS hii ya 1.42 kwa 8.03 ataweza kuendeleza ubabe wake?. Weka mkeka wako sasa.

Si mechi za kubeti tuu, bali kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Huku saa 2:15 KMC baada ya kukosa ushindi mechi 3 zilizopita leo hii atakuwa pale Azam Complex kukiwasha dhidi ya Coastal Union ya Tanga ambao wameshinda mechi zao 3 mfululizo. KMC kushinda amepewa ODDS 2.60 kwa 2.55. Mara ya mwisho kukutana, Wanakino Boys walishinda. Je Wagosi wa Kaya kulipa kisasi?.

Kule EPL sasa leo hii kuna mechi moja ambayo ni ya vijana wa Mauricio Pochettino Chelsea ambao watakua ugenini dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Selhurst Park huku mechi za kwanza msimu huu walipokutana, The Blues walishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.71 kwa 4.60. Je Palace kulipa kisasi leo?. Beti na meridianbet.

SOMA NA HII  BAADA YA KIMYA KIREFU....HATIMAYE JINA LA NCHIMBI KUTAJWA TENA LIGI KUU AKIWA NA TIMU HII MPYA...