Home Habari za michezo NI BAADA YA KUCHUKUA KOMBE…ZIMBWE JR ATAMBA LIVE…..KUMBE AWEKA REKODI HII

NI BAADA YA KUCHUKUA KOMBE…ZIMBWE JR ATAMBA LIVE…..KUMBE AWEKA REKODI HII

NI BAADA YA KUCHUKUA KOMBE...ZIMBWE JR ATAMBA LIVE.....KUMBE AWEKA REKODI HII

Beki wa pembeni wa Simba SC, Mohamed Hussein amesema anajivunia kubeba makombe yote ya nchi hii kwa nyakati tofauti.

Mohamed ameyasema hayo jana mara baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa fainali ya Kombe la Muungano.

“Furaha yangu ni kuchukua kombe la muungano ambalo nilikuwa nalisikia tu kwenye historia ya mpira wetu kipindi nipo mdogo, namimi nimeingia kwenye hiyo historia, kwa ufupi nimechukua makombe yote ya nchii hii, Shukrani Fans wetu endeleeni kutusapoti,” aliandika Mohamed Hussein aka Zimbwe Junior.

SOMA NA HII  BAADA YA KUMALIZA 'KUIKANDA' SIMBA JANA....AL AHLY 'HAOOO CHAP WASEPA ZAO BONGO'...