Home Habari za michezo MCHAMBUZI HUYU MKONGWE…AWAVAA MAREFA LIGI KIUU…WANAAPIMWA MACHO?

MCHAMBUZI HUYU MKONGWE…AWAVAA MAREFA LIGI KIUU…WANAAPIMWA MACHO?

MCHAMBUZI HUYU MKONGWE...AWAVAA MAREFA LIGI KIUU...WANAAPIMWA MACHO?

Legend Alex Luambano amaibua hoja nyingine kwenda kwa wenye mamlaka hii ni baada ya mpira wa Tabora United kuzua utata, refa wa mchezo akisema halikuwa goli lakini waliotazama TV wanasema goli
“Mpira umepigwa mbali na goli, kusema mwamuzi akimbie kwa kasi ya mpira aweze kuona ni ngumu lakini tujiulize hawq waamuzi wanapimwa macho? Ili kujua uwezo wao wa kuona.

“Je wanakula vyakula vya kusaidia uwezo wa kuona? Wakati mwingine unakuta macho ya refa hayoni vizuri, lakini pia wanashiriki mabonanza ya kukimbia?.

“Kuwe kuna namna kwa kutumia wanaorusha mechi zitengenezwe replay (marudio) Refa awe anatoka kwenda kwenye basi la matangazo pembeni ya uwanja akiwa na escort ya steward, replay inakuwa kama VAR yake,au awepo mwamuzi mwingine kwenye basi la kurushia matangazo wawe wanawasiliana.”

SOMA NA HII  MGUNDA ATUNISHA KIFUA SIMBA..."MECHI NA AZAM NI FAINALI...AFUNGUKA HAYA