Home news MAN UNITED, CHELSEA, PSG, JUVENTUS UWANJANI TENA LEO….

MAN UNITED, CHELSEA, PSG, JUVENTUS UWANJANI TENA LEO….

Meridianbet

Michezo kadhaa ya ligi mbalimbali itakwenda kupigwa leo barani ulaya na moja kati ya timu ambazo zitashuka dimbani leo ni klabu ya Manchester United, Chelsea, PSG, lakini bila kuwasahau vibibi vizee vya Turin klabu ya Juventus.

Michezo hii itakayopigwa leo itawaweka wateja wa Meridianbet katika mazingira mazuri ya kupiga mkwanja katikati ya wiki, Kwani michezo yote hiyo imepewa ODDS KUBWA na bomba pale kwenye tovuti ya mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.

EPL

Klabu ya Manchester United baada ya kupoteza mchezo wa wikiendi wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal leo watakua nyumbani tena dhidi ya klabu ya Newcastle katika dimba la Old Trafford, Chelsea wao watakua ugenini kumenyana na klabu ya Brighton katika mchezo ambao utaweza kuwaeka Chelsea katika mazingira mazuri ya kushirika michuano ya ulaya mwakani.

LA LIGA

Klabu ya Getafe itakua nyumbani kumenyana na klabu ya Atletico Madrid, Sevilla watakua nyumbani Ramon Sanchez Pizjuan kumenyana klabu ya Cadiz,klabu ya Celta Vigo watakua nyumbani kukipiga klabu ya Athletic Club michezo ambayo itakua na ushindani mkubwa.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya itakayopigwa katika ligi mbalimbali barani ulaya leo Jumatano. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

LIGUE 1

Kule kunako ligi kuu ya Ufaransa kutakua na michezo kadhaa ambapo leo mabingwa wa ligi hiyo ambao wametangazwa wikiendi iliyomalizika klabu ya PSG watakua ugenini kumenyana na klabu ya OGC Nice, mchezo mwingine utakua kati ya klabu Reims ambao watakua nyumbani dhidi ya klabu ya Olympique Marseille.

COPPA ITALIA

Leo kutakua na mchezo mkali wa fainali wa michuano ya Coppa Italia kati ya klabu ya Atalanta ambao watacheza dhidi ya klabu ya Juventus, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye mvuto mkubwa kwani utakwenda kuamua nani atakua bingwa wa michuano ya Coppa Italia kwa mwaka 2024.

SOMA NA HII  AHMED ALLY AMPIGIA KAMPENI MGOMBEA UONGOZI YANGA....ADAI NI 'RAFIKI YAKE WA KARIBU'.....AMTAJA BARBARA....