Home Habari za michezo SIMBA NA WYDAD KUPAMBANIA SAINI YA KIUNGO HUYU…KOCHA ATHIBITISHA

SIMBA NA WYDAD KUPAMBANIA SAINI YA KIUNGO HUYU…KOCHA ATHIBITISHA

SIMBA NA WYDAD KUPAMBANIA SAINI YA KIUNGO HUYU...KOCHA ATHIBITISHA

Kocha Mkuu wa FC Nouadhibou, Aritz López Garai ameweka wazi kuwa kiungo wa timu hiyo Mohsine Bodda anajiandaa kuondoka ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa msimu huu.

Simba SC wamekuwa wakitajwa kuiwinda saini nyota huyo raia wa Mauritania aliyelisaidia taifa hilo kufanya vyema kwenye michuano ya AFCON mwanzoni mwa mwaka huu.

Pia, klabu kadhaa za nchini Morocco zikiongozwa na Wydad Casablanca zinaiwinda saini ya kiungo huyo.

SOMA NA HII  UCHAGUZI WAITIKISA SIMBA SC...WANACHAMA WAMCHAGUA MWENYEKITI....MATABAKA YAZALIWA