Home Habari za michezo “SIO KWAMBA NI MZURI SANA…MCHAMBUZI AMVAA AZIZ KI…MAGOLI KIPA WANAMBEBA

“SIO KWAMBA NI MZURI SANA…MCHAMBUZI AMVAA AZIZ KI…MAGOLI KIPA WANAMBEBA

Habari za Yanga leo

Mchambuzi wa michezo nchini kupitia TV3, Alex Ngereza amedai kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki sio mzuri kwenye kupiga mipira ya kutenga kama ambavyo amekuwa akisifiwa na watu.
“Sio kwamba Azizi ki ni mzuri sana kwenye mipira ya kutenga

“hapana’ ila magolikipa wetu wengi sio wazuri kuzuia mipira ya mbali.

“Hili sio tatizo la Tanzania ni tatizo la Magolikipa wengi kutoka Africa kwasababu hawakui kwenye misingi halisi ya soka,” amesema Alex Ngereza.

SOMA NA HII  FURAHIA JUMAPILI YAKO NA ODD ZA USHINDI KUTOKA MERIDIANBET....