Home Habari za michezo BASHIRI NA MERIDIANBET MECHI ZA EURO LEO….ODDS ZA USHINDI ZIKO HAPA…

BASHIRI NA MERIDIANBET MECHI ZA EURO LEO….ODDS ZA USHINDI ZIKO HAPA…

Meridianbet

Meridianbet wanatoa mzigo wa kutosha leo ambapo michuano ya  EURO inazidi kupamba moto na leo tutashuhudia wababe wakichuana vikali kuwania pointi tatu muhimu. Je nani ni nani kule Ujerumani?

Tunaanza na Kundi B ambapo Spain ataumana dhidi ya Croatia huku mechi yao ikiwa imepewa ODDS KUBWA kabisa ndani ya Meridianbet. Mechi ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu lakini leo hii Spain ana ODDS 1.91 kushinda mechi hii kwa 4.11.

Hispania anapendelewa kushinda mechi hii leo kwasababu ya vijana ambao anao kama vile Rodri, Yamal, Pedri Morata na wengine kibao ambao wanafanya vizuri kwenye ligi yao, huku kwa upande wa Croatia wao pia wana wachezaji kama vile Luca Modric lejendi kabisa huyu, Marcelo Brozovic, Kovacic na wachezaji wengine.

Nani kukupa pesa kwenye mechi hii? Ingia meridianbet na chagua timu yako ya ushindi leo. Tengeneza jamvi hapa.

Huku nao Hungary watakipiga dhidi ya Switzerland kwenye Kundi A mchezo wa pili leo na Meridianbet wao hawajataka kupepesa macho wamempa nafasi kubwa ya kushinda Uswizi akiwa na ODDS 2.16 kwa 3.52 katika kundi A. Mechi 3 za mwisho kukutana Uswizi wameshinda zote.

Hungary ambao wapo chini ya kocha mkuu Marco Rossi wanataka kulipa kisasi hii leo kwenye EURO ambapo naye Murati Yakin wa Switzerland anataka kudumisha ubabe wao mbele ya mnyonge wao. Huku kuna Dominic Szoboslai, Roland Salai na kule Uswizi kuna Granit Xhaka, Shaqiri, Akanji na wengine kibao. Nani kuondoka na ushindi leo?. Beti hapa.

Jumamosi ya leo suka mkeka wako ndani ya Meridianbet upige mkwanja na mechi za EURO. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roulette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Usiku wa saa nne kutakuwa na mtanange mzito EURO leo bingwa mtetezi Italy ataumana dhidi ya Albania ambao hawapewi nafasi kubwa kabisa kwenye mechi ya leo na michuano hii kwaujumla. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Signal Iduna Park.

Luciano Spalletti na vijana wake wanataka kutetea taji lao huku leo hii wakipewa nafasi kubwa ya kuibuka wababe wa mechi kwa ODDS 1.34 kwa 9.21. Azzurri ina wachezaji wengi wazoefu kama vile Federico Chiesa, David Frattesi, Jorginho, Scamacca na wengine wengi ambao wanafanya vizuri na vilabu vyao. Huku Albania wao wachezaji wao ni kama vile Armando Broja, Ajeti, Asllan na wengine. Je wanaweza kumzuia bingwa mtetezi leo? Suka mkeka hapa.

SOMA NA HII  MITAMBO IMEWASHWA YANGA....MRITHI WA KISINDA HUYU HAPA....JAMAA NI CHUMAA HASWA...