Home Meridianbet MTOTO HATUMWI DUKANI…FAINALI YA UEFA REAL MADRID vs BORUSSIA DORTMUND

MTOTO HATUMWI DUKANI…FAINALI YA UEFA REAL MADRID vs BORUSSIA DORTMUND

Real Madrid vs Dortmund

Ukisikia mtoto hatumwi dukani basi ni leo kwani inakwenda kupigwa mechi ya kihistoria katika fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya kati ya Real Madrid dhidi ya klabu ya Borussia.

 

Imepita miaka 11 tangu klabu ya Borussia Dortmund wacheze fainali ya ligi ya mabingwa ulaya ambapo ilikua mwaka 2013 dhidi ya mahasimu zao klabu ya Fc Bayern Munich katika dimba la Wembley ambapo ndio fainali itapigwa tena mwaka huu.

Borussia Dortmund hawana historia nzuri sana na uwanja wa Wembley kwani mara ya mwisho walipoteza fainali dhidi ya Bayern Munich 2013, Hivo mchezo wa kesho dhidi ya Real Madrid unaweza kuwapa nafasi ya kusahihisha makosa yao au kuendeleza historia mbaya katika dimba la Wembley.

Real Madrid wao wanakwenda kucheza fainali yao ya tisa tangu mwaka 1992, Hku wakiwa wameshinda fainali zao nane zilizopita hivo ni mchezo ambao wanapewa nafasi kubwa zai ya kushinda mchezo huo kutokana na historia kua upande wao kwa kiasi kikubwa.

Suka mkeka wako kwenye mchezo huu mkali wa fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya pamoja na michezo mingine itakayopigwa wikiendi hii. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Kiuhalisia mchezo utakua mkali na wenye kuvuta hisia kali kwani vilabu vyote vina ubora mkubwa ambao umewafanya kuwepo kwenye hatua hiyo kubwa kabisa ya michuano hiyo, Huku kinachosubiriwa ni nani atatwaa taji hilo na kua bingwa mpya wa michuano hiyo.

Wikiendi hii pia ligi mbalimbali zitaendelea kama Serie ya Brazil, MLS ligi kuu nchini Marekani ambapo itapigwa michezo kadhaa kama Fluminense dhidi ya Botafogo, Inter Miami watakipiga dhidi ya St. Louis michezo yote hii unaweza kubashiri kupitia Meridianbet na kupiga mkwanja wakutosha.

SOMA NA HII  MATUMAINI YA WATANZANIA OLYMPIC YAPO KWENYE MARATHON...