Home Meridianbet SUKA JAMVI LAKO NA MERIDIANBET MECHI ZA LEO

SUKA JAMVI LAKO NA MERIDIANBET MECHI ZA LEO

Meridianbet

Siku ya leo hii ni zamu yako kufaidika na mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet ambapo unaweza ukatandika jamvi lako la uhakika kupiga mkwanja mrefu. Timu kibao kumenyana leo beti sasa.

Energie Cottbus atakuwa uso kwa uso dhidi ya Hertha Berlin ambayo inashiriki ligi daraja la pili kule Ujerumani wakati kwa mwenyeji yeye anashiriki ligi daraja la 3 kule Ujerumani. Mgeni anapewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi leo akiwa na ODDS 1.55 kwa 6.27. Tengeneza jamvi sasa.

FC Porto ataumana dhidi ya Al Arabi Doha ya kule Qatar. Porto alikuwa na msimu mzuri kabisa uliopita ambapo alimaliza nafasi ya 3 kwenye ligi. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.

Halikadhalika Yeovil Town atakuwa mwenyeji wa Bristol Rovers ambao wanashiriki League 1 kule Uingereza ambapo walimaliza msimu wakiwa na pointi 57 na kushika nafasi ya 15. Nani kushinda leo? Mechi hii imepewa ODDS 3.87 kwa 1.64. Bashiri sasa.

Bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Wakati kwa upande wa FC Copenhagen ya Denmark itakipiga dhidi ya Sdenderjyske ambapo mechi hii imepewa ODDS 1.44 kwa 4.80. Mwenyeji amemaliza nafasi ya 3 kwenye ligi yao huku mgeni akiwa hajacheza ligi kuu kwa muda sasa. Takwimu zinasema kuwa mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2021 ambapo hakuna ambaye alikuwa ambae kati yao baada ya kutoa sare ya 1-1. Je leo hii nani kuibuka kifua mbele?. Beti hapa.

Mechi nyingine itakuwa ni majira ya saa 10:00 jioni ambapo Luton Town baada ya kushuka daraja kule Ligi kuu ya Uingereza watawaalika nyumbani kwao FC Rukh Lviv kutoka kule Ukraine. Luton walimaliza nafasi ya 18 kwenye ligi baada ya kupoteza mechi ya mwisho wakiwa nyumbani. Wakati kwa mgeni yeye alimaliza wa 6 na pointi zake 49. 1.44 na 5.09 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Pia Lask kutoka Austria atapambana dhidi ya Puskas Akademia ya kule Hungary. Mwenyeji amemaliza nafasi ya 3 kwenye ligi akikusanya pointi zake 34 huku mgeni wake pia akimaliza nafasi hiyo hiyo akikusanya pointi zake 55. Meridianbet wanampendelea Lask kuibuka na pointi tatu kwa ODDS 1.76 kwa 3.43. Wewe beti yako unaiweka wapi kati za hizi timu?. Jisajili sasa.

Vilevile Mamelod Sundowns atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya SV Sandhausen ya kule Ujerumani. Ikumbukwe kuwa Masandawana wameachana na aliyekuwa kocha wao Rulani Mokwena kwahiyo sasa itakuwa na mwalimu mpya. Beti mechi hii ambayo imepewa ODDS 2.50 kwa mwenyeji na 2.28 kwa mgeni.

SOMA NA HII  HII HAPA SLOT INAYOKUPA MTONYO KILA HATUA NDANI YA MERIDIANBET CASINO...