Home Habari za michezo RASMI…HAWA HAPA WABABE WA SIMBA, YANGA KWENYE AFL YA CAF…MECHI ZOTE NI...

RASMI…HAWA HAPA WABABE WA SIMBA, YANGA KWENYE AFL YA CAF…MECHI ZOTE NI SAUZI…

Habari za Michezo

Shirikisho la soka Afrika limetoa Orodha ya vilabu (24) vitakavyoshiriki Michuano ya African Football League itakayofanyika mwaka ujao nchini Afrika Kusini kuanzia Januari 11 mpaka 9 Februari 2025.

CECAFA ZONE (4)
➜ Young Africans SC
➜ Simba SC
➜ Al-Hilal Omdurman
➜ Al-Merrikh

COSAFA ZONE (4)
➜ Mamelodi Sundowns
➜ Orlando Pirates
➜ Petro Atletico de Luanda
➜ Marumo Gallants

UNAF ZONE
➜ Al Ahly Cairo
➜ Wydad Casablanca
➜ RS Berkane
➜ Zamalek SC
➜ Raja Casablanca
➜ USM Alger
➜ CR Belouizdad
➜ Esperance Tunis

UFOA & UNIFFAC ZONE
➜ TP Mazembe
➜ ASEC Mimosas
➜ Horoya AC
➜ Rivers United
➜ Cotton de Garoua FC
➜ Nouadhibou
➜ AS Vita Club
➜ Enyimba.

Msimu uliopita michuano hii ilihusisha team 8 ambapo Tanzania iliwakilishwa na Simba SC ambao walitolewa na Al Ahly kwenye hatua ya Robo fainal.

Bingwa wa Michuano hii kwa msimu uliopita ni Mamelod Sundown ya Afrika Kusini ambapo waliifunga Wydad Casablanca ya Morocco na kujipatia zaidi ya Dola Milioni 100 sawa na Bilioni 280 za kitanzania.

SOMA NA HII  SIMBA YATANGAZA HALI YA HATARI...IHEFU TUMBO JOTO...ISHU NZIMA IKO HIVI