Siku kadhaa zilizopita Rais Eng Hersi Said akiongea na wanahabari alisema “Dube ni mshambuliaji hatari sana, asipofunga magoli 20 kwenye mashindano yote msimu huu, atakuwa amefanya vibaya sana kwani Dube ni mchezaji wa daraja lingine kabisa”.
Huku Dube Yeye aliwahi kusema “Nikivaa jezi ya timu hii nitafunga sana”
Alitoka kwenye maumivu amekuja kwenye furaha, na alishasemaga huko nyuma kuwa timu aliyotoka haina vision na kweli tunaona.
Prince Dube tangu ajiunge na Yanga SC amehusika kwenye jumla ya magoli 7 katika mechi 7 alizoichezea Yanga SC.
Takwimu za Prince Dube tangu ajiunge na klabu ya Yanga Kwa ujmla