Home Habari za michezo WASHINDI WOTE WA TUZO ZA TFF 2023/24

WASHINDI WOTE WA TUZO ZA TFF 2023/24

HABARI ZA MICHEZO-TUZO ZA TFF 2024

Usiku wa Tuzo za TFF ulikuwa ni Agosti Mosi, na wachezaji na wadau wengi wa soka walishinda tuzo zao, miongoni mwa wachezaji hao ambao waliibuka kidete ni Aziz Ki wa Yanga aliyechukua tuzo nne.

WASHINDI WENGINE WA TUZO HIZO 2023/24

Mchezaji Bora Ligi Kuu Bara – Stephane Aziz KI (Yanga)

Kiungo Bora Ligi Kuu Bara – Stephane Aziz KI (Yanga)

Mfungaji Bora Ligi Kuu Bara – Stephane Aziz KI (Yanga)

Beki Bora wa Ligi Kuu Bara – Ibrahim Bacca (Yanga)

Kipa Bora Ligi Kuu Bara – Ley Matampi (Coastal Union)

Mfungaji Bora Shirikisho – Clement Mzize (Yanga)

Mchezaji Bora Shirikisho – Feisal Salum (Azam FC)

Kipa Bora Shirikisho – Diarra Djigui (Yanga)

Mchezaji Chipukizi Bara – Raheem Shomary (KMC)

Mchezaji Chipukizi WPL – Ester Maseke

Kipa Bora WPL – Caroline Rufo

Mfungaji Bora WPL – Aisha Mnunka

Mchezaji Bora WPL – Aisha Mnunka

Kocha Bora Ligi Kuu – Miguel Gamondi

Kocha Bora WPL – Juma Mgunda

Mwamuzi Bora Bara – Ahmed Arajiga

Mwamuzi Bora WPL – Amina Kyando

Mwamuzi Msaidizi Bara – Mohammed Mkono

Mwamuzi Msaidizi WPL – Zawadi Yusuph

Tuzo za Rais TFF – Said El Maamry

Tuzo ya Heshima – Leodger Tenga

Tuzo ya Heshima WPL – Juma Bomba

Mchezaji Nje ya Nchi Wanaume – Mbwana Samatta

Mchezaji Nje ya Nchi Wanawake – Aisha Masaka

Mchezaji Bora Ufukweni – Jaruph Juma

Mchezaji Bora First League-Ayoub Masudi (African Sports)

Mchezaji Bora Championship – Edger William (KenGold)

Bao Bora la Msimu – Kipre Junior (Azam FC)

Kikosi Bora cha Msimu ni; Ley Matampi, Yao Kouassi, Mohamed Hussein, Ibrahim Abdullah, Dickson Job, Mudathir Yahya, Maxi Nzengeli, Feisal Salum, Wazir Junior, Stephane Aziz Ki na Kipre Junior.

SOMA NA HII  FEI TOTO ABAINISHA ALICHOAMBIWA NA MOKWENA WA WYDAD