Home Meridianbet SHINDA MAMLIONI LEO KUPITIA UEFA NATIONS LEAGUE…

SHINDA MAMLIONI LEO KUPITIA UEFA NATIONS LEAGUE…

Meridianbet

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wao wanakuambia hawasubiri mpaka wikiendi ndio wakupatie kitita, Kwani leo itakwenda kupigwa michezo mbalimbali ambayo itaweza kukupatia mkwanja.

Michuano ya Uefa Nations League itaendelea leo ambapo timu za taifa kadhaa zitashuka dimbani kumenyana katika michuano hiyo, Hivo hii ni fursa ya kuchukua maokoto kwani michezo hii imepewa Odds bomba pale kwenye tovuti ya Meridianbet.

Moja ya michezo mikali ambayo itachezwa leo itakutanisha timu ya taifa ya Ureno mabingwa wa michuano ya Uefa Nations League 2019 dhidi ya wanafainali wa michuano hiyo mwaka 2024 timu ya taifa ya Croatia, Huku Ronaldo kule Modric mchezo ambao unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa .

Mabingwa wa michuano ya Euro 2024 timu ya taifa ya Hispania leo watakua ugenini kumenyana na timu ya taifa ya Serbia, Mchezo huu Hispania wamepewa nafasi kubwa ya kushinda na wamepewa Odds nzuri sana ndani ya Meridianbet.

Kipute kingine kitachezwa pale kwenye dimba la Hampden Park ambapo timu ya taifa ya Scotland watakua nyumbani kuwakaribisha timu ya taifa ya Poland, Mchezo huu utakua mkali kwani timu zote mbili hazijapishana sana kwenye ubora na yeyote kati yao anaweza kuibuka mshindi katika mchezo huu.

Denmark watakua nyumbani leo kumenyana na timu ya taifa ya Uswisi kwenye michuano ya Uefa Nations League, Timu hizi zimekua zikipeana mchezo mgumu kila zinapokutana michezo mitatu ya mwisho wametoka sare mara mbili na Denmark kushinda mara moja hivo mchezo wa leo unatarajiwa kua mkali na mgumu pia.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

SOMA NA HII  KETE YAKO YA USHINDI LEO IKO KWENYE SLOT HII YA CASINO KUTOKA MERIDIANBET...