Home Habari za michezo HIVI NDIVYO ALI KAMWE NA AHMED ALLY WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA DABI YA KARIAKOO.

HIVI NDIVYO ALI KAMWE NA AHMED ALLY WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA DABI YA KARIAKOO.

Semaji la Caf Ahmed Ally amekutana uso kwa uso na Ali Kamwe Semaji la Wananchii, ambapo sababu ya kukutana kwao ni timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ ambayo inajiandaa kuikabili DR CONGO Jumanne ya kesho.

Katika kusherehesha Watanzania kwenda uwanjani kuipa nguvu Stars, wakajikuta kila mmoja akimtambia mwenzie kuwa Jumanne ndio siku ya mwisho kupata furaha wakiwa kwa Mkapa baada ya Stars kumchapa DR Congo ila baada ya hapo kitafuata ni kilio Tarehe 19 Oktoba.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI YA CAF KESHO....UNAAMBIWA NABI HUKO YANGA HATAKI MZAHA...APANIA KUUA 'SISIMIZI KWA RUNGU'....