Home Habari za michezo KWENYE DABI SIMBA ANAINGIA KAMA TIMU YA PILI

KWENYE DABI SIMBA ANAINGIA KAMA TIMU YA PILI

habari za SIMBA NA YANGA

Kuelekea mchezo mkali wa Dabi ya Kariakoo, Oktoba 19 tayari mambo yamezidi kupamba moto, ambapo joto kali limezidi kupanda kwa kasi kwenye kambi za Simba na Yanga.

Wakati hiyo yanaendelea, nao wachambuzi na wadau mbalimbali wa Soka wameendelea kutoa maoni na mitazamo yao juu ya mchezo huo.

“Tunakubaliana kuwa Simba Sc inajengwa na kocha Fadlu Davids anaendelea kukijenga kikosi bora hivyo bado naamini hata kwenye mchezo ujao wa dabi dhidi ya Yanga ambao Simba ndio mwenyeji ila bdao wanaingia kama timu ya pili”

“Japo kwenye dabi lolote linaweza kutokea ila Yanga anaingia kama timu bora kutokana na matokeo ya hivi karibuni kati ya hizo timu mbili walipokutana kwenye dabi” Ashraf Mchambuzi.

SOMA NA HII  DAKIKA KADHAA KABLA YA MECHI...MBRAZILI ASHINDWA KUJIZUIA NA TABIA ZA INONGA...