Home Habari za Yanga Leo MOHAMED ZOUGRANA TISHIO KWA YANGA

MOHAMED ZOUGRANA TISHIO KWA YANGA

Baada ya kupangwa kwa droo ya Ligi ya Mabingwa na Yanga kujua watakutana na nani na nani katika hatua ya makundi, basi moja ya timu tishio kwa Yanga ni MC Alger ya Benchika.

Sio tu timu pakee bali pale Alger kuna kiungo mmoja hatari sana, na huenda akawa mwiba wa kuchungwa kwa Yanga.

Mc Alger wana kiungo mmoja anaitwa Mohamed Zougrana huyu aliwahi kutamba pale Assec memosa pamoja na Azizi ki bila kumshau Karim Konate ambaye kwa sasa anagombania tuzo ya mchezaji bora kijana barani Ulaya.

Mohamed Zougrana ni kiungo bora sana kama atakuwa kwenye ubora wake siku ambayo watakutana na Yanga itabidi Miguel Gamondi na vijana wajue namna gani wanaweza kumuia ili asije akaleta madhara

SOMA NA HII  ALI  KAMWE ATOA KAULI  TATA KWA SIMBA...HALI IMEBADILIKA MSIMBAZI