Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

YANGA YATUA KWA MAKUNDI ETHIOPIA…WAHABESHI WAINGIA UBARIDI

0
Yanga itatua nchini Ethiopia kwa makundi tofauti ambapo hapa unavyosoma Mwanaspoti kundi la wachezaji waliokuwa nchini Ivory Coast na kikosi cha Taifa Stars limeshatua...

YANGA YASUKA KIKOSI…MBAYA WA SIMBA AREJESHWA KUNDINI

0
KIKOSI cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi...

AHMED ALLY…KAMA TUSIPOFUZU MAKUNDI UBAYA UBWELA UTATURUDIA

0
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya, itakayochezwa...

MZIZE HAJAWAHI KUFUNGA MABAO YA KUIBEBA TIMU…OSCAR OSCAR

0
KUHUSU ubora wa mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Clement Mzize umekuwa na dosari kwa upande wa mchambuzi wa...

FEI TOTO ATAKIWA AENDE SIMBA…WAZIRI WA FEDHA AMSHAURI.

0
Baada ya Feisal Salum 'Fei Toto' kufanikiwa kufunga bao zuri kwa Taifa Stars la kusawazisha dhidi ya Guinea bao hilo limemuibua Mheshimiwa Waziri wa...

ASKARI BACCA ATEMBEZA VIRUNGU TAIFA STARS…MAGUFULI ALISEMA…

1
Kuna kipindi Rais wa awamu ya tano, JPM wa Chato aliwahi kusema kama vipi tuwape Askari wacheze timu ya taifa, ile haikuwa kwa bahati...

NANI KAMA MOHAMMED HUSSEIN…MIAKA 15 KWENYE UBORA ULE ULE

0
Mohammed Hussein kwa sasa ndie Beki bora zaidi wa kushoto Tanzania imepata kuwa nae kwa miaka 20 iliyopita kwenye soka letu, bila shaka anaweza...

GAMONDI AWAONYA MASTAA WAKE…WASIJISAHAU

0
Licha ya kikosi chake kuonyesha ubora mkubwa katika mechi za mwanzo msimu huu, Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi amesema haimaanishi kama wako...

MUDATHIR ATEMA NYONGO WANAOPONDA WACHEZAJI WAZAWA

0
KIUNGO wa Yanga na Timuya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mudathir Yahya ametema nyongo kwa wale wanaoibeza timu ya taifa pamoja na wachezaji wake. Mudathir...

TAARIFA MPYA KUHUSU SIMBA NA YANGA…MUDA HUU

0
Wachezaji wa Yanga Mudathir Yahya, Bacca, Job, Mwamnyeto, Nickson Kibabage, na Clement Mzize wameondoka saa tisa alfajiri Ivory Coast ambayo ni sawa na saa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS