Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

ENG HERSI AELEZA UMAFIA ULIVYOFANYIKA…DILI LA CHAMA

0
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa alimshawishi aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama na kufanikiwa kunasa saini yake...

INJINIA HERSI…AZIZ KI NI GHALI ZAIDI YANGA

0
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema Stephan Aziz Ki ndiye mchezaji ghali zaidi katika kikosi cha Yanga. Raia huyo wa Burkina Faso...

MIL 216 ZA OKRAH ZAMUIBUA JEMBE…YANGA HAIPASWI KUMLIPA.

0
BAADA ya taarifa kueleza kuwa Yanga wanapaswa kumlipa mchezaji wao wa zamani Augustine Okrah Magic kiasi cha milioni 216, mwandishi wa Habari za Michezo...

AHMED ALLY…SIMBA INASHINDA LAKINI RAHA HAKUNA

0
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanashinda lakini hawana furaha kwa kuwa bado wanatengeneza timu hiyo. Mchezo wa...

SIMBA PUNGUZENI PRESHA…MSIMU HUU TIMU MNAYO

0
MNYAMA SIMBA amecheza mechi tatu tu za mashindano msimu huu ambazo mbili ni za Ngao ya Jamii ilizokutana na Yanga na Coastal Union na...

INSHU YA MADENI YANGA…WACHEZAJI WAFUNGUKA

0
Baadhi ya nyota wa zamani nchini wametoa maoni juu ya hali hiyo akiwamo kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Sekilojo Chambua amesema timu kubwa...

UKUTA WA SIMBA UNA DENI KUBWA MSIMU HUU

0
Wakati wakianza mechi ya kwanza ya ligi kuu msimu huu bila kuruhusu bao dhidi ya Tabora United, mabeki na makipa wa Simba wana kibarua...

SIMBA YAFUNGUKA INSHU YA FREDDY FUNGAFUNGA

0
UONGOZI wa Simba uko katika hatua za mwisho za kuachana na mshambuliaji, Freddy Michael Koubalan baada ya kuitumikia kwa miezi sita akitokea Green Eagles...

MUKWALA AKIRI KUWA NA DENI KUBWA SIMBA

0
Mshambuliaji mpya wa Simba, Mganda Steven Mukwala hajawapa furaha Wanamsimbazi, lakini mwenyewe amekiri sasa anauona ukubwa na thamani ya kikosi hicho baada ya kuanza...

GAMONDI AWEKA NGUMU KWA WYDAD

0
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafurahishwa na Clement Mzize na anataka nyota huyo asiuzwe kwenda Wydad Casablanca kwa gharama yoyote! Jaribio la ZAIDI ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS