Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

FADLU BADO ANALISUKA JESHI LA SIMBA…MSIKIE MOGELLA.

0
Licha ya kupiga tizi la maana ni kwamba hadi sasa Kocha wa Simba Fadlu Davids bado hajakipata kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Hadi sasa...

AHMED ALLY…UBAYA UBWELA HADI AGOSTI 8..SIMBA NA YANGA

0
BAADA ya Kutambulisha jezi mpya za Ubaya Ubwela wa Simba uliozinduliwa Julai 24 ukizidi kuwa gumzo kila kona kutokana na ubunifu wake pamoja na...

SIMBA YATANGAZA CEO MPYA…CV YAKE NI BALAA

0
Uongozi wa Simba umemtangaza Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, akichukuwa nafasi ya Imani Kajula anayejiandaa kumaliza...

AUCHO ATUPO DONGO…KISA TUZO ZA TFF

0
Baada ya kukosekana katika kinyang’anyiro cha Kiungo Bora, kiungo wa Yanga SC Khalid Aucho ni kama ametema nyongo kwa kuandika ujumbe katika ukurasa wake. Shirikisho...

SIMBA WARUDI NA MIL 600 TZ KUMPATA MPANZU

0
INAELEZWA kuwa Mabosi wa Simba wamerudi tena kwa mara nyingine wakifosi zaidi kuinasa ya mchezaji wa AS Vita Elie Mpanzu. Simba hadi jana walikuwa wametuma...

SIMBA YAIGALAGAZA YANGA KWA KIUNGO HUYU

0
BAADA ya watani wa jadi kugombania saini ya kiungo wa JKT Queens, Amina Bilal hatimaye Simba Queens imefanikiwa kuizidi akili Yanga Princess na kumnasa...

GAMONDI AWAFAGILIA DUBE NA BALEKE

0
KOCHA Miguel Gamondi anashindwa kujizuia na kuchekelea kimtindo namna washambuliaji wapya wa timu, Prince Dube na Jean Baleke walivyoanza maisha ndani ya timu hiyo,...

MGUNDA AIWAZA FAINALI CAF…SIMBA WASHINDWE WAO TU

0
Droo ya makundi ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) imefanyika juzi, huku wawakilishi wa Tanzania, Simba Queens...

YANGA NA VITAL’O ZOTE KUPIGWA DAR…YANGA MTELEZO TU

0
Klabu ya Vital’O ya Burundi imehamishia mechi yao ya nyumbani wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga kwenye uwanja...

YANGA HAIFIKIRII USHINDI…USHINDANI WA NAMBA GAMONDI APAGAWA.

0
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawafikirii ushindi kwenye mechi za kirafiki hivyo kupata ushindi ni matokeo ambayo yanawaongezea nguvu kuendelea kupambana...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS