Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

NINJA AMALIZANA NA FC LUPOPO…ATAKUTANA NA YANGA CAF

0
BEKI Mtanzania Abdallah Shaibu 'Ninja' amemalizana na FC Lupopo ya DR Congo ambapo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu hiyo msimu ujao. Ninja amesema...

KAPOMBE & ABEL WATAJA UGUMU WA SIMBA YA SASA

0
KIPA wa Simba, Hussein Abel amesema kwa aina ya mazoezi yanayofanywa na kikosi hicho yanampa taswira ya jinsi ambavyo watakuwa na ushindani dhidi ya...

KIBU DENIS KUKATWA MSHAHARA…INSHU YAKE YAFIKA PABAYA

0
KUNA jambo linaendelea juu ya sakata la mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokana na kuchelewa kujiunga na kambi ya kujiandaa na msimu wa 2024-2025...

NSHU YA MAXI NZENGELI NA KAIZER IKO HIVI

0
KIWANGO bora kinachoonyeshwa na nyota wa Yanga, Maxi  Nzengeli, raia wa DR Congo, kimewavutia mabosi wa Kaizer Chifes walioamua kupiga hodi na kuulizia uwezekano...

KOCHA WA SIMBA ASOTA RUMANDE…SIKU 609

0
Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultani (40) na wenzake wanaendelea kusota rumande kwa siku 609 sasa kutokana na upelelezi wa...

AUGUSTINE OKEJEPHA TISHIO KWA YANGA…MSIKIE MWENYEWE

0
KIUNGO mpya wa Simba, Augustine Okejepha, amefungukia mipango mikali aliyonayo msimu ujao, akieleza namna makocha wanavyokoleza moto kambini, huku akituma salamu Yanga akisema “subirini...

VITA YA NAMBA YAITESA SIMBA..FADLU DAVIDS APAGAWA

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema ana kazi kubwa ya kufanya ili kuhakikisha kwamba anatengeneza usawa kutokana na vita ya namba iliyopo kikosini...

BEKI LA YANGA..CHADRACK BOKA ASHUSHA PRESHA

0
BEKI mpya wa Yanga, Chadrack Boka amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo baada ya wikiendi iliyopita kupata maumivu katika mchezo wa kirafiki dhidi ya...

JOSHUA MUTALE ATABIRIWA MAKUBWA…FADLU DAVIDS ATOA USHUHUDA.

0
Kocha Mkuu wa Simba SC Fadlu Davids, amemtabiria makubwa Joshua Mutale, kuwa mmoja wa wachezaji watakaong'ara sana ndani ya kikosi chake msimu ujao. Akizungumza akiwa...

KOCHA WA AUGSBURG AICHAMBUA YANGA…ATAJA MASTAA.

0
WAKATI Kocha Mkuu wa Augsburg, Jess Thorup, inayocheza Ligi Kuu ya Ujerumani Bundlesliga, akiimwagia sifa Yanga kutokana na kiwango ilichoonyesha katika mechi ya juzi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS