admin
KIKOSI KAMILI CHA SIMBA SC DHIDI YA KAGERA SUGAR LEO
Kocha Mkuu, Didier Gomez na wasaidizi wake wamepanga kikosi kamili kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam hatua ya 16 bora dhidi ya...
YANGA WATUA SALAMA DAR
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Nassreddine Nabi kimewasili salama leo Mei Mosi Dar es Salaam, kikitokea Mbeya.Jana Aprili, 30 Yanga ilikuwa na...
AJIBU, GADIEL BYE BYE SIMBA
INAELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa ameueleza uongozi wa timu hiyo kuachana na kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu na beki wa...
AZAM FC YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SIMBA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa nia yao kubwa ni kutwaa taji la Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba kwa sasa.Azam...
JURGEN KLOPP: MAISHA NI MAFUPI SANA, HANA HOFU NA MANCHESTER
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Liverpool, Jurgen Kloop amesema kuwa maisha ni mafupi hivyo hawezi kuwa na hofu juu ya mafanikio ya timu zote...
PATRICK AUSSEMS AIPA NAFASI SIMBA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Kocha wa zamani wa Simba SC, PATRICK Aussems ameibuka na kusema kuwa Simba SC ina nafasi kubwa ya kuweza kufika fainali katika michuano hiyo kutokana na kurekebisha mambo mengi aliyoshauri wakati yupo...
GADIEL ANAWEZA KUBAKI SIMBA, AJIBU NI PASUA KICHWA
LICHA ya beki wa kushoto wa Simba Gadiel Michael kutokuwa na nafasi kikosi cha kwanza inaelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi hao ili...
SIMBA KAMILI KUIVAA KAGERA SUGAR LEO KWA MKAPA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora dhidi ya...
KIKOSI CHA YANGA KURUDI DAR LEO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi leo kimeanza safari ya kurudi Dar kikitokea Mbeya.Yanga jana Aprili ilikuwa na kazi ya kusaka...
ISHU YA MILIONI 40 PAMOJA NA KUZIDIWA MBINU, YANGA WATOA TAMKO
BAADA ya nahodha wa Tanzania Prisons, Benjamin Asukile kuweka wazi kuwa walizidiwa kwa kuwa refa hakuwa upande wao, Ofisa Habari wa Yanga amemtaka nahodha...