admin
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii kwa sasa
KAMA ZALI VILE, TSHABALALA AINGIA ANGA ZA WASAUZI
HERRY Mzozo ambaye ni meneja wa beki wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amesema kuwa mchezaji huyo anawindwa vikali na klabu za kutoka...
ISHU YA DUBE KUWEKWA RADA ZA YANGA, SIMBA NA RAJA IMEKAA...
WAKATI ikielezwa kuwa kinara wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara kwa sasa Prince Dube anapigiwa hesabu na timu mbalimbali ndani ya Bongo na...
VIDEO: HIVI NDIVYO YANGA INAVYOMKUMBUKA MORRISON,
MBOTO shabiki mkubwa wa Klabu ya Yanga amesema kuwa alikuwa anamlaumu Morrison, (Bernard) kwa makosa ambayo anayafanya ila kwa sasa anatamani hata Morrison angekuwepo...
VIDEO: SABABU YA YANGA KUFUNGWA NA AZAM HII HAPA, UBINGWA BADO
ALLY Kamwe mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa kupoteza kwa Yanga mbele ya Azam FC kwa kufungwa bao 1-0 ni somo kwao huku...
ZAKAZAKAZI ATUPA DONGO KWA YANGA, SIMBA NAMNA HII
OFISA Habari wa Azam FC amesema kuwa yeye mmoja ni sawa na Bumbuli, Antonio Nugaz ukichangaya na Dismas Ten unampata Zaka mmoja kutokana na...
DODOMA JIJI YATAMBA KUISHANGAZA SIMBA KESHO KWA MKAPA
RENATUS Shija, Kocha Msaidizi wa Dodoma Jiji amesema kuwa kesho watawashangaza wapinzani wao Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.Dodoma...
VIDEO: DUBE: BAO LANGU MBELE YA YANGA NI KWA AJILI YA...
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube amesema kuwa bao lake ambalo alifunga mbele ya Yanga ni maalumu kwa ajili ya timu yake, pia ameongeza...
ARGUERO AINGIA ANGA ZA BARCELONA NA INTER
NYOTA wa Manchester City, Kun Aguero mwenye miaka 32 anatajwa kuingia kwenye rada za Barcelona na Inter Milan. Nyota huyo alikuwa miongoni mwa waliotwaa taji...
MWAMBUSI ASEPA YANGA, ISHU YA KUWEPO KWENYE BENCHI MBELE YA AZAM...
IMEELEZWA kuwa Juma Mwambusi aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga amesepa ndani ya Yanga baada ya kutambulishwa kwa Nassredine Nabi ambeye ni Kocha Mkuu...