admin
SIMBA: DODOMA JIJI NI TIMU NGUMU, TUNAWAHESHIMU ILA TUPO TAYARI
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji utakaochezwa Uwanja wa...
YANGA: UBINGWA BADO SANA, TUSHIKAMANE
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa bado wana nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa wana mechi nyingi mkononi....
ISHU YA MANULA, ONYANGO, TSHABALALA KUSEPA GOMES AFUNGUKA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes amegoma kuona mastaa wake wakiondoka kwenye kikosi chake katika msimu ujao.Kati ya mastaa wanaotajwa kuondoka Simba ni Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ anayedaiwa...
MANCHESTER CITY YABEBA CARABAO CUP MARA YA NNE
MANCHESTER City inayonolewa na Kocha Mkuu, Pep Guardiola jana ilitwaa taji la nne la Carabao Cup mfululizo baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi...
ANDREW SIMCHIMBA, RAFAEL WAPELEKA KILIO COASTAL UNION, WAUPIGA MWINGI NA KUSEPA...
ANDREW Simchimba jana Aprili 25 alikuwa nyota wa mchezo Uwanja wa Highlands, Mbeya wakati ubao ukisoma Ihefu 3-0 Coastal Union. Nyota huyo ambaye yupo Ihefu...
HAWA HAPA NYOTA WA SIMBA MIKATABA YAO INAMEGUKA
WAKATI ishu ya mkataba wa beki wa kushoto, mzawa Mohamed Hussein, 'Tshabalala' likizidi kufukuta ndani ya Simba inaelezwa kuwa kuna nyota wengi ndani ya...
YANGA : BADO HATUJAKATA TAMAA, TUTAZIDI KUPAMBANA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa licha ya kupoteza mchezo wao jana mbele ya Azam FC bado wana nafasi ya kufanya vizuri katika mechi zijazo...
MABOSI WA SIMBA KUJADILI OFA YA MANULA
BAADA ya mabosi wa timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kuzidi kuwa ‘siriaz’ na ishu ya kuipata saini ya kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula, uongozi wa Simba unatarajiwa kukaa...
USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO YA GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
USIPANGE kukosa nakala ya Championi Jumatatu, 800 tu
YANGA YAPOTEZA KWA KUFUNGWA BAO MOJA MBELE YA AZAM FC KWA...
AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa.Kipindi cha...